Ova

Mbosso

Compositor: Não Disponível

Vishavu vimeanza kunona
Kitambi ndo hichi sasa ona
Nitazame, nanenepa nanenepa
Nami nimempata chioma

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kunitukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova

Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear

Shilingi shilingi shilingi
Shilingi yatutoa roho shilingi
Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
Shilingi ya ua mapenzi

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear

Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova

Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova

©2003- 2025 lyrics.com.br · Aviso Legal · Política de Privacidade · Fale Conosco desenvolvido por Studio Sol Comunicação Digital